Monday, August 19, 2013

HATIMAYE HUU NDIO MWONEKANO MPYA WA RAISI WA MASHARO BARO BOB JUNIOR

                                                    HUU NDIO MWONEKANO MPYA WA BOB JUNIOR  SHARO BARO

MPYA KABISA KATIKA VAZI LA OVERALLS(OVEROLI)


FAHAMU VIATU VILIVYO VALIWA NA MASTAR WAKUBWA DUNIANI NA VITU VYA KUZINGATIA WAKATI WA KUVAA VIATU VIREFU

                            HIVI NI BAADHI YA VIATU VIPYA VILIVYO PENDWA ZAIDI NA KUVALIWA NA MASTAR WAKUBWA DUNIANI .VIATU HIVI VIMEKUWA KATIKA MWONEKANO WA KIPEKEE ZAIDI KITU AMBACHO KINAWAVUTIA WATU WENGI SANA.

Wednesday, August 14, 2013

FAHAMU UMUHIMU WA MAUA KATIKA KUPENDEZESHA NYUMBA

MARA NYINGI NYUMBA HUPAMBWA NA VITU VINGI NDANI NA NJE PIA, BUSTANI NI MOJA WAPO YA PAMBO LINALOTUMIKA KUPENDEZESHA MWONEKANO WA NYUMBA NA PIA MAUA YANA FAIDA NYINGI KWA BINADAMU.           

KUWA WA KWANZA KUMFAHAMU MODEL WA KIUME DAXX HANS ALIYE SAINI MKATABA WA MIAKA MITATU NA KAMPUNI YA ICE MODEL MANAGEMENT NCHINI SOUTH AFRIKAA

        DAXX HANS NI MODEL WA KIUME WA KWANZA TANZANIA KUSAINI MKATABA NA KAMPUNI YA ICE MODEL MANAGEMENT ILIYOPO  JOHANNESBURG SOUTH AFRIKA .DAXX MWENYEWE AMEELEZA KUHUSIANA NA MKATABA WAKE MPYA WA MIAKA MITATU ZAIDI NA KAMPUNI YA ICE MODEL  KUPITIA UKURASA WAKE WA FACEBOOK


Monday, August 12, 2013

Fahamu aina mbalimbali na matumizi ya Wallet na handbags kwa kina dada

,
Wallet mpya kwa kina dada
 Fashion imekuwa ikikuwa siku hadi siku hapo zamani wanawake walikuwa wanabeba wallet pekee yake lakini kwa sasa wanawake wanabeba Handbags huku ndani wakiwa wameweka wallet,,

Tuesday, August 6, 2013

Collection mpya ni kwa ajili yako nguo fashion mpya za kila aina pita hapa ujue jinsi ya kupendeza

 Daima hakuna kitu mhimu kwa mwanadamu yeyote kama kuvaa vizuri na kupendeza haijalishi ni kwa mtindo gani bali ni umevaa nguo gani heshima pia inajengwa kutokana na kuvaa kwako kama wahenga wanenavyo umaridadi huficha umasikini angalia hapa mitupio mbalimbali
kama kuna aina ya nguo utaipenda wasiliana nasi

Hili tena ni shavu jingine la @FlavianaMatata

Flaviana Matata
  Zamani tulizoea tu kusikia Mastaa au watu wengine wa Afrika, Amerika na Ulaya ndio wanatajwa kwenye jarida lenye nguvu na ripoti za utafiti za kipekee kuwahusu watu flaniflani kwenye mali zao, nguvu yao na ujazo wa kazi zao.

Saturday, August 3, 2013

Mfahamu Mrembo wa Tanzania Anaechipukia katika fani mbalimbali anaahidi kuipeperusha Bendera ya taifa hili pasipo skendo


                                  
 Daima huwa namuomba mungu kuniongoza katika maisha yangu .Lakini naweka juhudi zaidi katika vitu ninavyofanya  au ninavyopanga kufanya naamini mafanikio yangu yatapatikana kutokana na juhudi zangu katika kutekeleza kile nilichodhamilia kufanya .maneno mazuri kutoka kwa mrembo  mwenye ndoto za mafanikio pasipo skendo...................

Angalia mitindo ya mavazi kuanzia nguo hadi viatu vitakavyokufanya utokelezee vizuri

 Mitindo ni mojawapo ya sekta za kisanaa nchini na duniani kote ambayo imetoa ajira kwa vijana wengi sekta hii huwaingizia kipato kikubwa sana vijana kutoka tanzania Ikiwa ni hivi majuzi tumeona kijana kutoka tanzania akisaini mkataba wa mabilioni ya pesa na kampuni ya addidas