Monday, November 11, 2013
MFAHAMU MWANAMZIKI MAARUFU DUNIANI ALIYE VAA VAZI LA KANGA AKIWA JUKWAA NA STYLE MPYA KABISA ZA USHONAJI WA NGUO ZA KANGA
BEYONCE NI MWANAMZIKI ALIYE ONEKANA AKIWA AMEVAA VAZI LA KANGA KATIKA SHOW ZAKE ZA TOUR YA MRS CARTER .HII INAONYESHA JINSI WATU WA NCHI NYINGENE WANAVYO PENDA VAZI HILI VAZI LA KANGA LINAWEZA VALIWA MAHALI POPOTE KULINGANA NA MSHONO WA KANGA HIYO KAMA INAVYOONEKANA HAPO PIA WAZUNGA HAWAPO NYUNA KATIKA UVAAJI WA NGUO HIZO KAMA INAVYONEKANA HAPO
Labels:
FASHION ZONE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment