Thursday, October 10, 2013
NG'AA., PENDEZA NA STYLES MPYA ZA MAGAUNI MAREFU KWA SHEREHE YAKO
NGUO HIZI HUVALIWA KWENYE SHEREHE MBALIMBALI KWA WAKATI WOWOTE .PIA HAZICHAGUI USIKU WALA MCHANA NA HUVALIWA KULINGANA NA MTU ANAPENDA KUVAA VIPI KAMA INAVYOONEKANA HAPA WATU WENGI WANAPENDA KUVAA NGUO HIZI NA VIATU VIREFU ILI KUPENDEZA ZAIDI KAMA INAVYO ONEKANA HAPA
Labels:
FASHION ZONE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment