Monday, November 18, 2013
WAFAHAMU WAREMBO WA TANZANIA WALIOWEZA KUNYOA NYWELE ZAO NA KUWA KATIKA MWONEKANO MWINGINE
HUYU NI MWIGIZAJI MAARUFU SANA NCHINI TANZANIA ANAYEJULIKANA KWA JINA LA JACKLINE WOLPER AKIWA KATIKA MWENEKANO HUU WAKUNYOA NYWELE WALIO MFANYA AWEZEKUJULIKANA KWA JINA LINGINE LA AMBEROSE WA BONGOHUYU NI MWANAMITINDO MAARUFU ANAYEJULIKANA KWA JINA LA FLAVIANA MATATA ANAYEFANYA SHUGULI ZAKE ZA MODELING NDANI NA NJE YA NCHI . FLAVIANA ALIWEZA KUONEKANA KATIKA MWONEKANO WA KUNYOA NYWELE KATIKA SHOW ZAKE MBALI MBALI ANAZOKUWA ANAFANYA WEMA SEPETU NAE PIA ALIWEZA KUONEKANA AKIWA KATIKA MWONEKAMO HUU ALIO MPINDEZA SANA HUYU NI MWIGIZAJI WA KITANZANIA IREN PAUL AKIWEA AMEONEKANA AMENYOA AKIWA KATIKA TUNZOYA CHIPUKIZI BORA WA BONGO MOVIES ALIYEFANYA VIZURI KATIKA HUU MWAKA WA 2013 MADAME RITHA NAE PIA HAYUPO NYUMA AMEWEZA KUONEKANA SANA KATIKA SHOW MBALIMBALI AKIWA KATIKA MWONEKANO HUU UNAOMPENDEZA SANA.HUNGERA SANA KWENYU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment