Saturday, August 3, 2013

Mfahamu Mrembo wa Tanzania Anaechipukia katika fani mbalimbali anaahidi kuipeperusha Bendera ya taifa hili pasipo skendo


                                  
 Daima huwa namuomba mungu kuniongoza katika maisha yangu .Lakini naweka juhudi zaidi katika vitu ninavyofanya  au ninavyopanga kufanya naamini mafanikio yangu yatapatikana kutokana na juhudi zangu katika kutekeleza kile nilichodhamilia kufanya .maneno mazuri kutoka kwa mrembo  mwenye ndoto za mafanikio pasipo skendo...................
Photo
FRIDA MASERO AKIWA KATIKA SHUGHULI ZAKE ZA UTANGAZAJI





Frida masero  ni mangazaji wa Redio na pia  anafanya biashara mbalimbali  hapahapa nyumbani Tanzania kama za maswala ya Fashon na Master of Ceremony [mc] na namnukuu mimi ninamelengo makubwa sana na ninaamini nitamfikia Ophra Winfrey kwasasbubu naanimini ninaweza

No comments:

Post a Comment