Monday, September 23, 2013
FAHAMU MAVAZI YALIYO VALIWA NA MISS RED'S TANZANIA MWAKA 2013 NA KUPENDWA NA WATU WENGI
HAPPINESS WATIMANYWA NDIO MISS RED'S TANZANIA 2013 KUTOKA KANDA YA KATITI DODOMA .HAPPNESS NDIO MSHINDI ALIYE WEZA KUJINYAKULIA TAJI HILO NA KUPEWA ZAWADI MBALI . HAPINESS WATIMANYWA AKIWA KATIKATI YAPO MENGI HAYATA WEZA SAUKLIKA KATIKA MASHINDANO YA MWAKA HUU WA 2013 KWA WASHIRIKI KUBUNI MAVAZI A KITENGE YALIYO WAPENDIZA SANA KAMA YANAVYO OMEKANA KWENY PICHA HAPO CHINI MSHINDI HAPPINES AKIWA NA WENZAKE KATIK VAA LA KITENGE HAYA NA BAADHI YA MAVAZI YA KITENGE YALIYO VALIWA NA BAADHI YA WASHIRIKI YALIYOPENDWA SANA NA WATAZANAJI KWA SABABU WASHIRIKI WA MISS RED'S TANZANIA WALIAMUA KULIDUMISHA VAVI LA KITENGE KWENYE JUKWA WASHIRIKI WAKIWA KATIKA HATUA YA MWISHO YA KUMPATA MSHINDI
Labels:
FASHION ZONE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment