Tuesday, November 26, 2013
BETTY BONIFACE OMARA MREMBO WA KITANZANIA ALIYEPEPERUSHA VYEMA BENDERA YA TANZANIA KWA KUTAMBULISHA MAVAZI YA ASILI
BETTY AKIWA KATIKA VAZI LAKE LA UBUNIFU LILILO TENG ENGENEZWA VYEMA NA MBUNIFU WA KITANZANIA .PIA ALIWEZA KUVAA VAZI LA MKEKA LILILO TENGENEZWA NA MBUIFU CHIPUKIZA MWANAKOMBO SALIM . LIC HO YA KUSHENGWA KATIKA MASHINDANO HAYO YA MISS UNIVERSE AMEWEZA KUITANGAZA TANZANIA KUPITIA VIVUTIO VYA NGUO HIYO ALIYOKUWA AMEIVAA YA UBUNIFU WA KITALII HATA HIVYO AMEKUWA MREMBO PEKE ALIYECHAGULIWA KUTOKA BARA LA AFRIKA MIONGONI MWA WAREMBO NANE KUTOKA NCHI WASHIRIKA WA MASHINDANO HAYO MREMBO WA MISS UNIVERSE BETTY BONIFACE AKIWA ANAKABITHIWA BENDERA YA TANZANIA NA WAZIRI WA MALI ASILI NA UTALII BALOZI HAMISI KAGASHEKIH
Labels:
FASHION ZONE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment