MARA NYINGI NYUMBA HUPAMBWA NA VITU VINGI NDANI NA NJE PIA, BUSTANI NI MOJA WAPO YA PAMBO LINALOTUMIKA KUPENDEZESHA MWONEKANO WA NYUMBA NA PIA MAUA YANA FAIDA NYINGI KWA BINADAMU.
MAUA YANATUPATIA HEWA SAFI NA HARUFU NZURI TUPANDE MAUA KULINGANA NA MAENEO YA NYUMBA ZETU ZILIVYO NA KUZINGATIA RANGI ZA NYUMBA ZETU ILI KULETA MWONEKANO MZURI
PIA BUSTANI NI SEHEMU NZURI YA KUPUMZIKIA WAKATI WOTE KAMA INAVYOONEKANA KWENYE PICHA HAPO CHINI
PIA MAUA YANAWEZA KUTUMUKA NDANI YA NYUMBA KAMA UREMBO PIA,NA UWEKEJI WA MAUA KULINGANA NA RANGI NA SEHEMU NA MAHALI UTAKAPO HITAJI KUWEKA MAUA YAKO KAMA YANAVYOONEKANA HAPO CHINI
No comments:
Post a Comment