Wednesday, August 28, 2013
Monday, August 26, 2013
Thursday, August 22, 2013
Monday, August 19, 2013
HATIMAYE HUU NDIO MWONEKANO MPYA WA RAISI WA MASHARO BARO BOB JUNIOR
HUU NDIO MWONEKANO MPYA WA BOB JUNIOR SHARO BARO
FAHAMU VIATU VILIVYO VALIWA NA MASTAR WAKUBWA DUNIANI NA VITU VYA KUZINGATIA WAKATI WA KUVAA VIATU VIREFU
HIVI NI BAADHI YA VIATU VIPYA VILIVYO PENDWA ZAIDI NA KUVALIWA NA MASTAR WAKUBWA DUNIANI .VIATU HIVI VIMEKUWA KATIKA MWONEKANO WA KIPEKEE ZAIDI KITU AMBACHO KINAWAVUTIA WATU WENGI SANA.
Wednesday, August 14, 2013
FAHAMU UMUHIMU WA MAUA KATIKA KUPENDEZESHA NYUMBA
MARA NYINGI NYUMBA HUPAMBWA NA VITU VINGI NDANI NA NJE PIA, BUSTANI NI MOJA WAPO YA PAMBO LINALOTUMIKA KUPENDEZESHA MWONEKANO WA NYUMBA NA PIA MAUA YANA FAIDA NYINGI KWA BINADAMU.
KUWA WA KWANZA KUMFAHAMU MODEL WA KIUME DAXX HANS ALIYE SAINI MKATABA WA MIAKA MITATU NA KAMPUNI YA ICE MODEL MANAGEMENT NCHINI SOUTH AFRIKAA
Monday, August 12, 2013
Fahamu aina mbalimbali na matumizi ya Wallet na handbags kwa kina dada
, |
Wallet mpya kwa kina dada |
Tuesday, August 6, 2013
Collection mpya ni kwa ajili yako nguo fashion mpya za kila aina pita hapa ujue jinsi ya kupendeza
kama kuna aina ya nguo utaipenda wasiliana nasi
Hili tena ni shavu jingine la @FlavianaMatata
Saturday, August 3, 2013
Mfahamu Mrembo wa Tanzania Anaechipukia katika fani mbalimbali anaahidi kuipeperusha Bendera ya taifa hili pasipo skendo
Daima
huwa namuomba mungu kuniongoza katika maisha yangu .Lakini naweka
juhudi zaidi katika vitu ninavyofanya au ninavyopanga kufanya naamini
mafanikio yangu yatapatikana kutokana na juhudi zangu katika kutekeleza
kile nilichodhamilia kufanya .maneno mazuri kutoka kwa mrembo mwenye
ndoto za mafanikio pasipo skendo...................
Angalia mitindo ya mavazi kuanzia nguo hadi viatu vitakavyokufanya utokelezee vizuri
Mitindo
ni mojawapo ya sekta za kisanaa nchini na duniani kote ambayo imetoa
ajira kwa vijana wengi sekta hii huwaingizia kipato kikubwa sana vijana
kutoka tanzania Ikiwa ni hivi majuzi tumeona kijana kutoka tanzania
akisaini mkataba wa mabilioni ya pesa na kampuni ya addidas
Subscribe to:
Posts (Atom)