Sunday, February 9, 2014

angalia hapa aina mbalimbali za nguo za lace lace zikiendelea kuvaliwa na mastar wengi na kuendelea kufanya vizuri katika fashion mwaka huu 2014


           nguo za lace lace ni aina ya nguo zilizopengwa sana na watu wengi .aina ya nguo hizi huvaliwa sehemu yoyote kulingana mazingira .nguo hizi zinaacha baadhi ya sehemu katika mwili kuonekana hivyo uvaaji wa nguo hizi kunatakiwa umakini mkubwa wakati wa uchaguzi wako. rangi pia inahusika sana katika kuchagua ili kupendeza zaidi.                                                                     beyonce akiwa ameva gaunila lace lenye rangi jeusi lenye gharama sana kama inavyoonekana hapo                              abbie                                                                                       allssa millano                             taylor swift                              katty perry                             paris hiton     
                                                          chrissy    colbie caillat    

No comments:

Post a Comment