

WAMESEMA WATAFANYA TENA MAANDANANO MENGINE SIKU YA JUMAMOSI AMBAYO NDIO SIKU YA SHINDANO LENYEWE LICHA YA WAANDAAJI WA SHINDANO HILO KUSEMA WASHIRIKI HAWATA VAA VAZI LA BIKINI NA KUSEMA WASHIRIKI WATAVAA NGUO NDEFU ZENYE KUZIBA MWILI MZIMA LAKINI BADO NI WAKATI MGUM KWAO KWANI WAISLAMU HAO WAMEKATA SHINDANO HILO LIPELEKWE NCHI NYINGINE.


No comments:
Post a Comment