

MACRIDA JOSEPH NI MODEL WA KIKE ANAYEFANYA VIZURI SANA KATIITA TASINIA YA MODELING .AMEWEZA KUSHIRIKI SHOW NYINGI HAPA TANZANIA NA NJE YA NCHI. NA KUFANYA KUPENDWA ZAIDI NA WATU ZIKIWEMO ZA ALLY REHMTULLAH,.MUSTAFA HASANALI,.MARIDADI FASHION SWAHILI FASHION NA NYINGIME NYINGI





No comments:
Post a Comment