Rosmery Fashion zone

Pages

  • Home
  • Picha ya siku
  • world Record
  • Fashion Zone

Monday, November 18, 2013

WAFAHAMU WAREMBO WA TANZANIA WALIOWEZA KUNYOA NYWELE ZAO NA KUWA KATIKA MWONEKANO MWINGINE

rosmeryfashionzone.blogspot.com
HUYU NI MWIGIZAJI MAARUFU  SANA NCHINI TANZANIA ANAYEJULIKANA KWA JINA LA JACKLINE WOLPER AKIWA KATIKA MWENEKANO HUU WAKUNYOA NYWELE  WALIO MFANYA AWEZEKUJULIKANA KWA JINA LINGINE LA AMBEROSE WA BONGOHUYU NI MWANAMITINDO MAARUFU ANAYEJULIKANA  KWA JINA LA FLAVIANA MATATA ANAYEFANYA SHUGULI ZAKE  ZA MODELING NDANI NA NJE YA NCHI . FLAVIANA ALIWEZA KUONEKANA KATIKA MWONEKANO WA KUNYOA NYWELE  KATIKA SHOW ZAKE  MBALI MBALI ANAZOKUWA ANAFANYA                           WEMA SEPETU NAE PIA ALIWEZA KUONEKANA AKIWA KATIKA MWONEKAMO HUU ALIO MPINDEZA SANA HUYU NI MWIGIZAJI WA KITANZANIA IREN PAUL AKIWEA AMEONEKANA AMENYOA AKIWA KATIKA TUNZOYA CHIPUKIZI BORA WA BONGO MOVIES ALIYEFANYA VIZURI KATIKA HUU MWAKA WA 2013                                                                                                  MADAME RITHA NAE PIA HAYUPO NYUMA AMEWEZA KUONEKANA SANA KATIKA SHOW MBALIMBALI AKIWA KATIKA MWONEKANO HUU UNAOMPENDEZA SANA.HUNGERA SANA KWENYU
Posted by Unknown at 3:48 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Search This Blog

Rosmery Fashion zone

Loading...

Blog Archive

  • ►  2014 (43)
    • ►  April (1)
    • ►  March (4)
    • ►  February (28)
    • ►  January (10)
  • ▼  2013 (31)
    • ►  December (1)
    • ▼  November (5)
      • BETTY BONIFACE OMARA MREMBO WA KITANZANIA ALIYEPEP...
      • TOLEO JIPYA KABISA LA SAA ZA MKONONI
      • FAHAMU STYLE MBLIMBALI ZA UPAKAJI RANGI KATIKA KUC...
      • WAFAHAMU WAREMBO WA TANZANIA WALIOWEZA KUNYOA NYWE...
      • MFAHAMU MWANAMZIKI MAARUFU DUNIANI ALIYE VAA VAZI ...
    • ►  October (5)
    • ►  September (5)
    • ►  August (15)

Popular Posts

  • NG'AA., PENDEZA NA STYLES MPYA ZA MAGAUNI MAREFU KWA SHEREHE YAKO
          
  • WAFAHAMU WAREMBO WA TANZANIA WALIOWEZA KUNYOA NYWELE ZAO NA KUWA KATIKA MWONEKANO MWINGINE
  • kwa wale wapenzi wa magauni mafupi haya hapa chagua style mbalimbali za magauni mafupi upendeze
  • FAHAMU MAVAZI YALIYO VALIWA NA MISS RED'S TANZANIA MWAKA 2013 NA KUPENDWA NA WATU WENGI
  • FAHAMU STYLE MBLIMBALI ZA UPAKAJI RANGI KATIKA KUCHA ZAKO
     
  • Angalia hapa aina mbali mbali za ufungaji kilemba kwa wanawake.(Furahia sikukuu ya wanawake duniani.)
  • MFAHAMU MWANAMZIKI MAARUFU DUNIANI ALIYE VAA VAZI LA KANGA AKIWA JUKWAA NA STYLE MPYA KABISA ZA USHONAJI WA NGUO ZA KANGA
  • FAHAMU UMUHIMU WA MAUA KATIKA KUPENDEZESHA NYUMBA
    MARA NYINGI NYUMBA HUPAMBWA NA VITU VINGI NDANI NA NJE PIA, BUSTANI NI MOJA WAPO YA PAMBO LINALOTUMIKA KUPENDEZESHA MWONEKANO WA NYUMBA...
  • angalia hapa style hii ya viatu inayoingia kwa kasi sana katika fashion
  • Angalia hapa viatu vya kitenge kwa wanaune na wanawake

About Me

Unknown
View my complete profile
Simple theme. Powered by Blogger.