

BETTY AKIWA KATIKA VAZI LAKE LA UBUNIFU LILILO TENG ENGENEZWA VYEMA NA MBUNIFU WA KITANZANIA .PIA ALIWEZA KUVAA VAZI LA MKEKA LILILO TENGENEZWA NA MBUIFU CHIPUKIZA MWANAKOMBO SALIM . LIC HO YA KUSHENGWA KATIKA MASHINDANO HAYO YA MISS UNIVERSE AMEWEZA KUITANGAZA TANZANIA KUPITIA VIVUTIO VYA NGUO HIYO ALIYOKUWA AMEIVAA YA UBUNIFU WA KITALII HATA HIVYO AMEKUWA MREMBO PEKE ALIYECHAGULIWA KUTOKA BARA LA AFRIKA MIONGONI MWA WAREMBO NANE KUTOKA NCHI WASHIRIKA WA MASHINDANO HAYO


No comments:
Post a Comment