
IZABEL GOULART NI MWANAMITINDO WA KIBRAZILI ANAYEFANYA KAZI ZA MODELING NCHINI HUMO AKIWA NA MAFANIKIO MAKUBWA NA AMEWEZA KUFANYA KAZI HII YA MODELING MIAKA MINGI,MODELINGI INEMPELEKEA MWANADADA HUYO AJULIKANE NA KUFAHANIKA ZAIDI NDANI LA BRAZILI NA DUNIA MZIMA



No comments:
Post a Comment