
BOB JUNIOR AMESEMA ATAKUWA KWENYE MUONEKANO HUU WA MAVAZI MWAKA 2013. HAYA AMESEMA KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK. BOB JUNIOR AMESEMA ATAKUWA KWENYE MUONEKANO HUU KWA SABABU ANATAKA KUTAMBULIKA KAMA MSANII WA KIAFRIKA ATAKAPOKUWA KWENYE JUKWA LOLOTE DUNIANI.PIA AMESEMA ANATAKA KUWAONYESHA WASANII WENZAKE KUWA UNAWEZA KUPENDEZA UKIWA KWENYE NUOMEKANO WA NYUMBANI




No comments:
Post a Comment