Daima
huwa namuomba mungu kuniongoza katika maisha yangu .Lakini naweka
juhudi zaidi katika vitu ninavyofanya au ninavyopanga kufanya naamini
mafanikio yangu yatapatikana kutokana na juhudi zangu katika kutekeleza
kile nilichodhamilia kufanya .maneno mazuri kutoka kwa mrembo mwenye
ndoto za mafanikio pasipo skendo...................